Swali: Je, inafaa kununua mimba ndani ya tumbo kwa sharti awe salama na wa kiume?

Jibu: Hapana, muda wa kuwa ni kitu kiko tumboni hakitambuliki. Haijuzu kununua kitu kisichotambulika. Mpaka kizalike na kionekane.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 18/04/2021