Hapa ndipo josho linamruhusu mtu kuswali

105 – Nilimuuliza Shaykh wetu kama josho linalotosheleza linamruhusu mtu kuswali?

Jibu: Ndio, ikiwa atanuia kuondoa hadathi zote mbili.

106 – Nikasema vipi ikiwa hakufanya kwa mpangilio?

Jibu: Hata kama… ikiwa atanuia kuondoa hadathi zote mbili, basi inatosha.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 60
  • Imechapishwa: 15/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´