Hapa ndipo itajuzu kuswali kwa kukaa ndani ya ndege

Swali: Kuna ndugu mmoja amenukuu kutoka kwako kwamba umesema kuwa inajuzu kuswali ndani ya ndege swalah ya faradhi kwa kukaa pamoja na kuwa ana uwezo wa kusimama.

Jibu: Akiwa na uwezo hapana haijuzu. Kusimama ni nguzo. Lakini hata hivyo akishindwa kusimama aswali kwa kukaa, sawa ndani ya ndege au sehemu kwengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (38) http://alfawzan.af.org.sa/node/2146
  • Imechapishwa: 13/07/2020