Swali: Wakati mtu anaponiuliza kuhusiana na masuala na mimi nikawa najua fatwa ya mwanachuoni mwaminifu juu ya masuala hayo. Je, nimweleze fatwa hiyo au nimwambie kuwa sijui?
Jibu: Ikiwa hakuna mwanachuoni yeyote wa kumuuliza au ukamuulizia wewe wakati huohuo wewe ukawa unajua fatwa na unaiamini, mnukulie. Hii ni haja na dharurah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3
- Imechapishwa: 22/08/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)