Swali: Wakati mtu anaponiuliza kuhusiana na masuala na mimi nikawa najua fatwa ya mwanachuoni mwaminifu juu ya masuala hayo. Je, nimweleze fatwa hiyo au nimwambie kuwa sijui?

Jibu: Ikiwa hakuna mwanachuoni yeyote wa kumuuliza au ukamuulizia wewe wakati huohuo wewe ukawa unajua fatwa na unaiamini, mnukulie. Hii ni haja na dharurah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Tafsiyr al-Mufasswal (78) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/taf_3_1_1433.mp3 
  • Imechapishwa: 22/08/2020