Swali: Kuna kidhibiti gani cha kiasi cha baridi ambacho kinamruhusu mtu kufanya Tayammum?
Jibu: Ikiwa baridi inamdhuru na hana kitu cha kuchemshia au kupasha moto maji katika baridi – kwa mfano yuko nyikani hana kitu cha kupasha maji – basi inajuzu kwake kufanya Tayammum.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27488/ما-ضابط-البرد-الذي-يجوز-من-اجله-التيمم
- Imechapishwa: 10/04/2025
Swali: Kuna kidhibiti gani cha kiasi cha baridi ambacho kinamruhusu mtu kufanya Tayammum?
Jibu: Ikiwa baridi inamdhuru na hana kitu cha kuchemshia au kupasha moto maji katika baridi – kwa mfano yuko nyikani hana kitu cha kupasha maji – basi inajuzu kwake kufanya Tayammum.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27488/ما-ضابط-البرد-الذي-يجوز-من-اجله-التيمم
Imechapishwa: 10/04/2025
https://firqatunnajia.com/hapa-ndipo-itafaa-kufanya-tayammum-badala-ya-kutawadha-kwa-maji/