Swali: Je, mume anayo haki ya kumzuia mke wake kwenda kwa ambao ni halali kwake ikiwa anaona kuna madhara katika makutano yao au anakhofia juu yake?
Jibu: Anayo haki ya kumkatalia ikiwa anakhofia jambo hata kama ni wale wanaume jamaa zake wasioweza kumuoa.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23912/هل-يجوز-منع-الزوجة-من-محارمها
- Imechapishwa: 31/05/2024
Swali: Je, mume anayo haki ya kumzuia mke wake kwenda kwa ambao ni halali kwake ikiwa anaona kuna madhara katika makutano yao au anakhofia juu yake?
Jibu: Anayo haki ya kumkatalia ikiwa anakhofia jambo hata kama ni wale wanaume jamaa zake wasioweza kumuoa.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23912/هل-يجوز-منع-الزوجة-من-محارمها
Imechapishwa: 31/05/2024
https://firqatunnajia.com/hapa-mume-anayo-haki-ya-kumzuia-mkewe-kukutana-na-jamaa-zake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket