Swali 652: Je, mume anaweza kuapa kwa uwongo kwa ajili ya mke wake?
Jibu: Maana ya wazi ya Hadiyth anaruhusiwa kusema uwongo katika mambo yanayohusiana nao wawili ambayo hayadhuru, na ikiwa ataapa juu ya jambo lililo halali basi hatakuwa amevunja kiapo, kwa sababu hilo ni halali kwake.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 234
- Imechapishwa: 20/06/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 652: Je, mume anaweza kuapa kwa uwongo kwa ajili ya mke wake?
Jibu: Maana ya wazi ya Hadiyth anaruhusiwa kusema uwongo katika mambo yanayohusiana nao wawili ambayo hayadhuru, na ikiwa ataapa juu ya jambo lililo halali basi hatakuwa amevunja kiapo, kwa sababu hilo ni halali kwake.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 234
Imechapishwa: 20/06/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/hapa-itafaa-kwa-mume-kuapa-kwa-uwongo/