Swali 556: Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu mwanamke aliyetalikiwa talaka ya rejea kama anayo haki ya mgawo wa usiku kwa mumewe?

Jibu: Hapana, lakini ana haki ya makazi na matumizi.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 189
  • Imechapishwa: 11/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´