Swali: Ni zipi nasaha zako kwa mwanafunzi ambaye anaishi katika nchi ambayo haina wanachuoni katika Ahl-us-Sunnah na badala yake Ahl-ul-Bid´ah kama vile Ibaadhiyyah ndio wengi.
Jibu: Ni wajibu kwako kuwauliza wanachuoni, kuwapigia simu na kusoma vitabu vya Ahl-us-Sunnah. Anatakiwa kusafiri kwenda kutafuta elimu kila wakati anapoweza. Asafiri kwenda katika miji ambayo ina wanachuoni, apige goti chini yao na afaidike kutoka kwao. Vilevile asome kutoka kwenye vitabu vyao na kanda zao. Kwa hayo Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) atamsaidia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.youtube.com/watch?v=oMoaMLGx4k0
- Imechapishwa: 09/12/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)