Swali: Baadhi ya watu wanafanya maalum siku ya ijumaa kwa ajili ya kuyatembelea makaburi?

Jibu: Hapana, halina msingi. Hakuna wakati maalum. Makaburi yanatembelewa kila wakati; wakati wa usiku na wakati wa mchana. Hakuna wakati wake maalum.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/28932/ما-حكم-تخصيص-زيارة-القبور-بيوم-الجمعة
  • Imechapishwa: 07/05/2025