Swali: Je, wudhuu´ unachenguka ikiwa umemalizika muda wa kupaka juu ya soksi?
Jibu: Ndiyo, unachenguka kwa mujibu wa wanazuoni wengi. Baada ya muda kuisha mtu anapaswa kuvua na kutawadha tena, kwa sababu twahara imeisha.
Swali: Ni ipi dalili, ee Shaykh?
Jibu: Dalili ni muda maalum uliowekwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)[1].
[1] at-Tirmidhiy (96), an-Nasaa´iy (127) na Ibn Maajah (478).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24735/هل-ينتقض-الوضوء-اذا-انتهت-مدة-المسح
- Imechapishwa: 04/12/2024
Swali: Je, wudhuu´ unachenguka ikiwa umemalizika muda wa kupaka juu ya soksi?
Jibu: Ndiyo, unachenguka kwa mujibu wa wanazuoni wengi. Baada ya muda kuisha mtu anapaswa kuvua na kutawadha tena, kwa sababu twahara imeisha.
Swali: Ni ipi dalili, ee Shaykh?
Jibu: Dalili ni muda maalum uliowekwa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam)[1].
[1] at-Tirmidhiy (96), an-Nasaa´iy (127) na Ibn Maajah (478).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24735/هل-ينتقض-الوضوء-اذا-انتهت-مدة-المسح
Imechapishwa: 04/12/2024
https://firqatunnajia.com/hakuna-ufutaji-wa-soksi-baada-ya-kumalizika-kwa-muda/