Swali: Vipi kuhusu mwenye kutofautisha kati ya Hadiyth Aahaad na Mutawaatir?
Jibu: Usawa ni kwamba hakuna tofauti. Sifa zilizosihi katika Qur-aan ni wajibu kuzithibitisha. Sahihi ni kwamba hukumu za sifa zinathibiti kwa Sunnah Swahiyh. Ni mamoja iwe Mutawaatir au Aahaad.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
- Imechapishwa: 09/08/2020
Swali: Vipi kuhusu mwenye kutofautisha kati ya Hadiyth Aahaad na Mutawaatir?
Jibu: Usawa ni kwamba hakuna tofauti. Sifa zilizosihi katika Qur-aan ni wajibu kuzithibitisha. Sahihi ni kwamba hukumu za sifa zinathibiti kwa Sunnah Swahiyh. Ni mamoja iwe Mutawaatir au Aahaad.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
Imechapishwa: 09/08/2020
https://firqatunnajia.com/hakuna-tofauti/