Swali 47: Kutumia kipaza sauti wakati wa kusoma matabano?
Jibu: Hili halina msingi. Anatakiwa amsomee mtu uso kwa uso ili amfikie upepo na cheche za mate.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 39
- Imechapishwa: 07/08/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 47: Kutumia kipaza sauti wakati wa kusoma matabano?
Jibu: Hili halina msingi. Anatakiwa amsomee mtu uso kwa uso ili amfikie upepo na cheche za mate.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 39
Imechapishwa: 07/08/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/hakuna-msingi-wa-kipaza-sauti-wakati-wa-matabano/