Abu Zakariyyaa Yahyaa bin Muhammad al-´Anbariy amesema: Nimemsikia Ibn Khuzaymah akisema:
”Wakati maelezo yake Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) yanaposihi, basi hakuna yeyote ana haki ya kusema kitu kingine.”
- Muhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (14/373)
- Imechapishwa: 17/09/2023