Swali: Kuna mtu ambaye alikuwa anafanya hajj ya Tamattu’ hakuwa na kichinjwa na hakufunga mpaka hivi sasa. Je, hivi sasa ni lazima afunge?
Jibu: Hapana shaka. Ni jambo limebaki katika dhimma yake. Ni lazima afunge siku kumi.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 28/06/2020
Swali: Kuna mtu ambaye alikuwa anafanya hajj ya Tamattu’ hakuwa na kichinjwa na hakufunga mpaka hivi sasa. Je, hivi sasa ni lazima afunge?
Jibu: Hapana shaka. Ni jambo limebaki katika dhimma yake. Ni lazima afunge siku kumi.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (23) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
Imechapishwa: 28/06/2020
https://firqatunnajia.com/hakuchinja-wala-kufunga/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket