Swali: Inafaa kwa mtu kufanya hajj au ´umrah kwa mkopo wa ribaa?
Jibu: Hapana. Allaah haikubali hajj wala ´umrah yake inayotokana na mali ya haramu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
- Imechapishwa: 29/08/2020
Swali: Inafaa kwa mtu kufanya hajj au ´umrah kwa mkopo wa ribaa?
Jibu: Hapana. Allaah haikubali hajj wala ´umrah yake inayotokana na mali ya haramu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (107) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoulahfan-22-06-1441.mp3
Imechapishwa: 29/08/2020
https://firqatunnajia.com/hajj-au-umrah-kwa-mkopo-wa-ribaa/