Swali: Ni vipi tutamraddi mwenye kutumia dalili kwa Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu mwenye kusema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah… ” na kwamba kinachotakikana ni kutamka tu na si kufanyia kazi yale inayopelekea…
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakusema atamke tu, amesema:
“Yeyote atakayesema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah hali ya kuwa ni mtakasifu moyoni mwake, ataingia Peponi”.”
“Yeyote atakayesema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah” na akakufuru na vile vinavyoabudiwa badala ya Allaah… ”.”
”Moto umeharamishwa kwa ambaye atasema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah” hali ya kuwa anatafuta kwa hilo uso wa Allaah.”
Lazima sharti hili. Shahaadah ina vigezo vyake. Usichukue Hadiyth moja na ukaacha Hadiyth nyenginezo.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
- Imechapishwa: 06/03/2025
Swali: Ni vipi tutamraddi mwenye kutumia dalili kwa Hadiyth ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu mwenye kusema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah… ” na kwamba kinachotakikana ni kutamka tu na si kufanyia kazi yale inayopelekea…
Jibu: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) hakusema atamke tu, amesema:
“Yeyote atakayesema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah hali ya kuwa ni mtakasifu moyoni mwake, ataingia Peponi”.”
“Yeyote atakayesema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah” na akakufuru na vile vinavyoabudiwa badala ya Allaah… ”.”
”Moto umeharamishwa kwa ambaye atasema ”hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah” hali ya kuwa anatafuta kwa hilo uso wa Allaah.”
Lazima sharti hili. Shahaadah ina vigezo vyake. Usichukue Hadiyth moja na ukaacha Hadiyth nyenginezo.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ad-Durr an-Nadhwiyd (01)
Imechapishwa: 06/03/2025
https://firqatunnajia.com/haitoshi-kutamka-shahaadah-peke-yake/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket