Haikupokelewa kumtamkisha maiti shahaadah ya pili

Swali 314: Je, baada ya:

لا إله إلا الله

”Hapana mungu wa haki isipokuwa Allaah.”

maiti atamkishwe:

محمد رسول الله

”Muhammad ni Mtume wa Allaah.”?

Jibu: Haikupokelewa.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 111
  • Imechapishwa: 24/05/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´