Haijuzu kuwauliza kitu mashaytwaan

Swali: Ni ipi hukumu ya anayewasiliana na mashaytwaan ambao wanamweleza kuhusu vitu vilivyopotea na vilivyoibiwa?

Jibu: Haijuzu kuwauliza wala kuwaendea. Haifai kuwauliza kuhusu vitu vilivyoibiwa wala vilipo vilivyopotea. Kitendo hicho ni batili. Haijuzu kuwauliza.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24555/حكم-الاستعانة-بمن-يتصلون-بالشياطين
  • Imechapishwa: 31/10/2024