Swali: Kundi la vijana walikuwa wanafuata madhehebu ya baadhi ya mapote potofu…

Jibu: Haijuzu. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) baada ya kutaja kufarikiana kwa ummah na akataja kundi lililookoka akasema:

“Ummah huu utafarikiana makundi sabini na tatu. Yote yataingia Motoni isipokuwa moja tu.” Wakasema: “Ni lipi hilo, ee Mtume wa Allaah?” Akasema: “Ni wale wataofuata yale ninayofuata mimi hii leo na Maswahabah wangu.”

Mtu ajifunze Sunnah za Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na azifuate.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdullaah bin ´Abdir-Rahmaan al-Ghudayyaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Waqafaat ma´aa Hadiyth tatadaa´ alaykum-ul-Umamu https://godian.af.org.sa/sites/default/files/2017-09/wgfaaat.mp3
  • Imechapishwa: 23/09/2022