Swali: Je, inajuzu kufanya uasi kwa mtawala mtenda dhambi ambaye ameahidiwa usikivu na utiifu ikiwa kuna uwezekano wa kujinasua naye pasina kumwaga damu?
Jibu: Haijuzu kufanya uasi kwa mtawala, hata kama atakuwa mtenda dhambi. Haitakikani kusema kuwa yatapitika pasi na kumwagika damu. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameidhinisha tu kufanya uasi kwa mtawala ambaye amefanya kufuru ya wazi kabisa.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Kanda ”al-Hamalaat al-I´laaniyyah dhiwdd Hukkaam wa ´Ulamaa’ Bilaad-il-Haramayn”
- Imechapishwa: 05/09/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)