706 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu anayejikinga kutokana na shaytwaan baada ya kupiga miayo?

Jibu: Haikupokelewa. Hata hivyo hapana vibaya akifanya hivo kwa sababu inatokana na shaytwaan.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 248
  • Imechapishwa: 04/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´