Swali: Je, kupita mbele ya maamuma kunahesabiwa kuwa ni kukata swalah? Je, anayefanya hivyo anaingia katika matishio?
Jibu: Ikiwa mtu atapita mbele ya maamuma, hilo halidhuru ikiwa kuna haja ya kufanya hivyo. Ni kama ambavyo ´Abdullaah bin ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anh) alipita kati ya safu za wanaoswali akiwa pamoja na mnyama wake. Lakini haipaswi kupita kati yao isipokuwa kwa haja, kama vile kuziba pengo katika safu au jambo linalofanana na hilo. Hivyo kupita mbele yao hakuwadhuru wao wala hakumdhuru yeye.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/329)
- Imechapishwa: 12/03/2026
Swali: Je, kupita mbele ya maamuma kunahesabiwa kuwa ni kukata swalah? Je, anayefanya hivyo anaingia katika matishio?
Jibu: Ikiwa mtu atapita mbele ya maamuma, hilo halidhuru ikiwa kuna haja ya kufanya hivyo. Ni kama ambavyo ´Abdullaah bin ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anh) alipita kati ya safu za wanaoswali akiwa pamoja na mnyama wake. Lakini haipaswi kupita kati yao isipokuwa kwa haja, kama vile kuziba pengo katika safu au jambo linalofanana na hilo. Hivyo kupita mbele yao hakuwadhuru wao wala hakumdhuru yeye.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (29/329)
Imechapishwa: 12/03/2026
https://firqatunnajia.com/haidhuru-kupita-mbele-ya-safu-za-waswaliji-nyuma-ya-imamu/