Swali 20: Ni vipi hali ya Hadiyth isemayo:
“Lau ningelimwamrisha yeyote kumsujudie mwengine basi ningelimwamrisha mwanamke kumsujudia mwanamume kumsujudia mume wake.?[1]”
Jibu: Haina neno. Imepokelewa na Mu´aadh.
[1] at-Twabaraaniy (5/5116-5117). Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika ”as-Swahiyhah” (3366).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 35
- Imechapishwa: 13/10/2018
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket