Swali: Ni upi usahihi wa Hadiyth:
“Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kwa haki ya wenye kukuomba.”?
Jibu: Hadiyth hii ni dhaifu kwa mujibu wa wanazuoni. Mtu asome du´aa zilizowekwa katika Shari´ah:
بسم الله، توكلتُ على الله، لا حول ولا قوة إلا بالله، اللهم إني أعوذ بك أن أَضِلَّ أو أُضَلَّ، أو أَزِلَّ أو أُزَلَّ، أو أظلمَ أو أُظلمَ، أو أجهلَ أو يُجهل عليَّ
“Kwa jina la Allaah, namtegemea Allaah na hapana uwezo wa kutikisika wala nguvu isipokuwa kwa msaada wa Allaah. Ee Allaah! Najikinga Kwako kutokana na kupotea au kupoteza, kuteleza au kumtelezesha mtu, kudhulumu au kudhulumiwa, kuwa mjinga au kufanywa mjinga.”
Wakati anapotoka nyumbani kwenda kuswali au kwa jambo jingine. Akitoka kwa ajili ya swalah aseme:
اللَّهُمَّ اجْعَلْ فِي قَلْبِي نُوراً، وفي لِسانِي نُوراً، وَاجْعَلْ فِي سَمْعِي نُوراً ، وَاجْعَلْ فِي بَصَرِي نُوراً، وَاجْعَلْ مِنْ خَلْفِي نُوراً، وَمِنْ أمامي نُوراً ، وَاجْعَلْ مِنْ فَوْقِي نُوراً، وَمِنْ تَحْتِي نُوراً ، اللَّهُمَّ أعْطِني نُوراً
“Ee Allaah! Weka ndani ya moyo wangu nuru, katika ulimi wangu nuru, weka usikizi wangu nuru, weka uoni wangu nuru, weka nyumani kwangu nuru, mbele yangu nuru na chini yangu nuru. Ee Allaah! Nipe nuru.”[1]
Hadiyth hii ameipokea Ibn ´Abbaas katika ”as-Swahiyh”.
[1] al-Bukhaariy (6316) na Muslim (763).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31205/ما-صحة-حديث-اسالك-بحق-الساىلين-عليك
- Imechapishwa: 12/10/2025
Swali: Ni upi usahihi wa Hadiyth:
“Ee Allaah! Hakika mimi nakuomba kwa haki ya wenye kukuomba.”?
Jibu: Hadiyth hii ni dhaifu kwa mujibu wa wanazuoni. Mtu asome du´aa zilizowekwa katika Shari´ah:
بسم الله، توكلتُ على الله، لا حول ولا قوة إلا بالله، اللهم إني أعوذ بك أن أَضِلَّ أو أُضَلَّ، أو أَزِلَّ أو أُزَلَّ، أو أظلمَ أو أُظلمَ، أو أجهلَ أو يُجهل عليَّ
“Kwa jina la Allaah, namtegemea Allaah na hapana uwezo wa kutikisika wala nguvu isipokuwa kwa msaada wa Allaah. Ee Allaah! Najikinga Kwako kutokana na kupotea au kupoteza, kuteleza au kumtelezesha mtu, kudhulumu au kudhulumiwa, kuwa mjinga au kufanywa mjinga.”
Wakati anapotoka nyumbani kwenda kuswali au kwa jambo jingine. Akitoka kwa ajili ya swalah aseme:
اللَّهُمَّ اجْعَلْ فِي قَلْبِي نُوراً، وفي لِسانِي نُوراً، وَاجْعَلْ فِي سَمْعِي نُوراً ، وَاجْعَلْ فِي بَصَرِي نُوراً، وَاجْعَلْ مِنْ خَلْفِي نُوراً، وَمِنْ أمامي نُوراً ، وَاجْعَلْ مِنْ فَوْقِي نُوراً، وَمِنْ تَحْتِي نُوراً ، اللَّهُمَّ أعْطِني نُوراً
“Ee Allaah! Weka ndani ya moyo wangu nuru, katika ulimi wangu nuru, weka usikizi wangu nuru, weka uoni wangu nuru, weka nyumani kwangu nuru, mbele yangu nuru na chini yangu nuru. Ee Allaah! Nipe nuru.”[1]
Hadiyth hii ameipokea Ibn ´Abbaas katika ”as-Swahiyh”.
[1] al-Bukhaariy (6316) na Muslim (763).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/31205/ما-صحة-حديث-اسالك-بحق-الساىلين-عليك
Imechapishwa: 12/10/2025
https://firqatunnajia.com/hadiyth-ya-haki-ya-waombaji-ni-dhaifu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket