Swali: Je, Hadiyth zilizothibiti juu ya fadhila ya Suurah “Yaa Siyn” ni Swahiyh?
Jibu: Hapana. Hakukuthibiti juu ya Suurah “Yaa Siyn” na kuisoma Hadiyth yoyote Swahiyh. Kilichopokelewa ni kwamba inasomwa kwa ambaye anataka kuaga dunia, lakini hata hii haikuthibiti pia.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
- Imechapishwa: 14/04/2018
Swali: Je, Hadiyth zilizothibiti juu ya fadhila ya Suurah “Yaa Siyn” ni Swahiyh?
Jibu: Hapana. Hakukuthibiti juu ya Suurah “Yaa Siyn” na kuisoma Hadiyth yoyote Swahiyh. Kilichopokelewa ni kwamba inasomwa kwa ambaye anataka kuaga dunia, lakini hata hii haikuthibiti pia.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13965
Imechapishwa: 14/04/2018
https://firqatunnajia.com/hadiyth-juu-ya-fadhilah-za-suurah-yaa-siyn/