Swali: Je, inajuzu kwangu kwa mujibu wa Shari´ah kufanya maandalizi ya mahitaji ya mazishi kwa niaba ya mke wangu, kama mazishi, sanda na mengineyo?
Jibu: Gharama za maandalizi yatolewe kutoka katika mali yake. Ikiwa anayo mali, basi kutoka katika mali yake. Ikiwa hana mali, basi ni juu ya warithi wake, wewe na warithi wengine. Watatekeleza yale yanayohitajika katika maandalizi, sanda, kumuosha, kuchimba kaburi na mambo yanayofanana na hayo. Ikiwa anayo mali yake, basi maandalizi yake kutoka katika mali yake hutangulizwa kuliko warithi.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1236/حكم-من-قام-بتجهيز-لوازم-دفن-زوجته
- Imechapishwa: 13/02/2026
Swali: Je, inajuzu kwangu kwa mujibu wa Shari´ah kufanya maandalizi ya mahitaji ya mazishi kwa niaba ya mke wangu, kama mazishi, sanda na mengineyo?
Jibu: Gharama za maandalizi yatolewe kutoka katika mali yake. Ikiwa anayo mali, basi kutoka katika mali yake. Ikiwa hana mali, basi ni juu ya warithi wake, wewe na warithi wengine. Watatekeleza yale yanayohitajika katika maandalizi, sanda, kumuosha, kuchimba kaburi na mambo yanayofanana na hayo. Ikiwa anayo mali yake, basi maandalizi yake kutoka katika mali yake hutangulizwa kuliko warithi.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1236/حكم-من-قام-بتجهيز-لوازم-دفن-زوجته
Imechapishwa: 13/02/2026
https://firqatunnajia.com/gharama-za-maandalizi-ya-maiti-yanatolewa-katika-mali-yake/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket