Swali: Kuna mtu anafanya I´tikaaf na anataka kwenda ´Umrah na baba yake. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Ikiwa I´tikaaf inatokana nadhiri na imewekewa muda na wakati maalum, basi ni lazima aitekeleze. Kwa sababu kutekeleza nadhiri ya utiifu ni jambo la lazima. Ikiwa ni I´tikaaf ya kujitolea tu, basi ataikamilisha na akitaka ataikata na kwenda ´Umrah.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/446)
- Imechapishwa: 12/06/2018
Swali: Kuna mtu anafanya I´tikaaf na anataka kwenda ´Umrah na baba yake. Ni ipi hukumu ya hilo?
Jibu: Ikiwa I´tikaaf inatokana nadhiri na imewekewa muda na wakati maalum, basi ni lazima aitekeleze. Kwa sababu kutekeleza nadhiri ya utiifu ni jambo la lazima. Ikiwa ni I´tikaaf ya kujitolea tu, basi ataikamilisha na akitaka ataikata na kwenda ´Umrah.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/446)
Imechapishwa: 12/06/2018
https://firqatunnajia.com/ghafla-kukata-itikaaf/