Swali: Ni ipi hukumu ya swawm ya asiyeswali?
Jibu: Asiyeswali ni kafiri. Yanaharibika matendo yake yote:
وَلَوْ أَشْرَكُوا لَحَبِطَ عَنْهُم مَّا كَانُوا يَعْمَلُونَ
“Lau wangemshirikisha bila shaka yangeporomoka yale waliyokuwa wakitenda.”[1]
Tunamuomba Allaah usalama. Ambaye haswali ni kafiri na matendo yake ni batili mpaka atubie kwa Allaah.
[1] 06:88
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
- Imechapishwa: 30/03/2023
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket