Fuata maneno ya wanachuoni juu ya al-Hajuuriy

Nimepata suala kuhusu Yahyaa al-Hajuuriy. Mimi simjui Yahyaa al-Hajuuriy. Mimi ni kama nyinyi nimeshikamana na maneno ya wanachuoni juu yake. Mimi nasikiliza nini kasema Shaykh Rabiy´, Shaykh ´Ubayd na Shaykh Muhammad bin Haadiy. Ninafuata maneno ya wanachuoni. Kwa kuwa mimi sina ujuzi kuhusu mtu huyu na kosa lake. Ninafuata maneno ya wanachuoni. Ninawanasihi watu wote wafuate maneno ya wanachuoni.

  • Mhusika: Shaykh Muhammad bin ´Umar Baazmuul
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://putselefa.com/muhammad-bazmul-o-jahji-al-hadzuri/
  • Imechapishwa: 18/01/2017

Turn on/off menu