Swali: Gazeti la al-Iswlaah limeeneza fatwa ya Kibaar-ul-´Ulamaa´ inayozungumzia kufaa kufanya Tawassul kwa makaburi, waja wema na Mitume baada ya kufa kwao na pengine umelisoma. Ni yepi maoni yako juu ya mambo kama haya? Ni yepi maelekezo yako juu ya kuraddi mfano wa shubuha kama hizi?
Jibu: Ikiwa jambo hili limethibiti na limenasibishwa kwao, basi mimi naona kuwa baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa´ Saudi Arabia wafikishiwe khabari na vilevile Muftiy Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah. Huenda kwa kufanya hivo baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa´ wataandika Radd dhidi ya taasisi hiyo ili haki iweze kubainika na kuwa wazi. Kwa sababu fatwa ikitoka katika baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa´ si sawa na kutoka kwa mtu wa kawaida.
- Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (13) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191589#219913
- Imechapishwa: 27/10/2019
Swali: Gazeti la al-Iswlaah limeeneza fatwa ya Kibaar-ul-´Ulamaa´ inayozungumzia kufaa kufanya Tawassul kwa makaburi, waja wema na Mitume baada ya kufa kwao na pengine umelisoma. Ni yepi maoni yako juu ya mambo kama haya? Ni yepi maelekezo yako juu ya kuraddi mfano wa shubuha kama hizi?
Jibu: Ikiwa jambo hili limethibiti na limenasibishwa kwao, basi mimi naona kuwa baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa´ Saudi Arabia wafikishiwe khabari na vilevile Muftiy Shaykh ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah. Huenda kwa kufanya hivo baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa´ wataandika Radd dhidi ya taasisi hiyo ili haki iweze kubainika na kuwa wazi. Kwa sababu fatwa ikitoka katika baraza la Kibaar-ul-´Ulamaa´ si sawa na kutoka kwa mtu wa kawaida.
Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (13) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191589#219913
Imechapishwa: 27/10/2019
https://firqatunnajia.com/fataawaa-za-kibaar-ul-ulamaa-si-kama-za-wengine/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)