741 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu maneno ya Ibn Daqiyq al-‘Iyd kuhusu Shaykh-ul-Islaam:
“Sidhani kama Allaah bado anaumba mfano wako.”
Je, hii inajuzu?
Jibu: Iliyotambulika zaidi ni maneno yake mengine:
“Nilimwona mtu ambaye elimu zote ziko mbele yake; anachukua anachokitaka na kuacha anachokitaka.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 264
- Imechapishwa: 12/07/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
741 – Nilimuuliza Shaykh wetu kuhusu maneno ya Ibn Daqiyq al-‘Iyd kuhusu Shaykh-ul-Islaam:
“Sidhani kama Allaah bado anaumba mfano wako.”
Je, hii inajuzu?
Jibu: Iliyotambulika zaidi ni maneno yake mengine:
“Nilimwona mtu ambaye elimu zote ziko mbele yake; anachukua anachokitaka na kuacha anachokitaka.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 264
Imechapishwa: 12/07/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/fani-zote-mbele-yake/