Swali: Anakufuru mwenye kusujudu na kuchinja mbele ya sanamu na kaburi au ni lazima kwanza itazamwe kama amesujudia na kuchinjia sanamu au amechinja na kusujudu kwa ajili ya Allaah?
Jibu: Falsafa hizi hazijuzu. Mwenye kuchinja kwenye kaburi ni mshirikina. Mwenye kusujudu kwenye kaburi ni mshirikina. Hatuangalii ya kwamba amenuia hili wala lile. Zote hizi ni falsafa.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Anakufuru mwenye kusujudu na kuchinja mbele ya sanamu na kaburi au ni lazima kwanza itazamwe kama amesujudia na kuchinjia sanamu au amechinja na kusujudu kwa ajili ya Allaah?
Jibu: Falsafa hizi hazijuzu. Mwenye kuchinja kwenye kaburi ni mshirikina. Mwenye kusujudu kwenye kaburi ni mshirikina. Hatuangalii ya kwamba amenuia hili wala lile. Zote hizi ni falsafa.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/falsafa-hizi-hazijuzu/