Swali: Ambao wamepitwa na Fajr na wakaamka wakati wa mchana waiswali kwa sauti ya juu au kimyakimya?
Jibu: Waswali kwa sauti ya juu.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
- Imechapishwa: 19/06/2022
Swali: Ambao wamepitwa na Fajr na wakaamka wakati wa mchana waiswali kwa sauti ya juu au kimyakimya?
Jibu: Waswali kwa sauti ya juu.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
Imechapishwa: 19/06/2022
https://firqatunnajia.com/fajr-wakati-wa-mchana/