Swali 201: Kikosi cha watu waliokaa katika mji kwa siku moja au mbili – je, wanatakiwa kuswali swalah ya mkusanyiko?

Jibu: Hakuna ubaya ikiwa wataswali kwa mkusanyiko. Lililo bora zaidi ni kwamba waswali mkusanyiko Fajr na Maghrib, kwa sababu ni swalah zisizofupishwa. Ama msafiri mmoja, basi inamlazimu kuswali kwa mkusanyiko.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 86
  • Imechapishwa: 19/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´