Swali: Mtu mwema anapomlea mtoto wake katika kusimamisha Sunnah na dini tokea utotoni mwake anapata mfano wa ujira wake?
Jibu: Ndio, Allaah akitaka. Akimlea na kumkuza juu ya kheri, kisha baba akafariki na mtoto akawa mwema atamuombea baba yake. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“… au mtoto mwema mwenye kumuombea.”
Hawezi kumuombea isipokuwa mpaka awe mwema. Wema una sababu. Nayo ni malezi mazuri.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (17) http://alfawzan.af.org.sa/node/2110
- Imechapishwa: 09/07/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket