Mwanaume na mwanamke kuswali katikati ya usiku ndani yake kunakuwa na kuizingatia Qur-aan, kumnong´oneza Allaah na kunapatikana kutiririka kwa machozi kwa kumuogopa Allaah (´Azza wa Jall). Kwa kuwa mtu anakuwa na yakini kwamba kweli amesimama kwa ajili ya Allaah peke Yake (Jalla wa ´Alaa).

  • Mhusika: Shaykh Swaalih bin ´Abdil-´Aziyz Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Arba´iyn an-Nawawiyyah, uk. 408
  • Imechapishwa: 14/05/2020