189 – Ahmad bin Hafws bin ´Abdillaah ametukhabarisha: Baba yangu amenihadithia: Ibraahiym bin Twahmaan amenihadithia, kutoka kwa Sulaymaan ash-Shaybaaniy, kutoka kwa´Adiy bin Thaabit, kutoka kwa al-Baraa’ bin ´Aazib, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema kumwambia Hassaan bin Thaabit siku ya Quraydhwah:
”Wachemshe washirikina, kwani Jibriyl yuko pamoja nawe!”[1]
190 – Ahmad bin Sulaymaan ametukhabarisha: Yahyaa bin Aadam ametukhabarisha, kutoka kwa Israa-il, kutoka kwa Abu Ishaaq, kutoka kwa al-Baraa’ bin ´Aazib, aliyesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Wachemshe washirikina, kwani Roho Mtakarifu yuko pamoja nawe!”
[1] al-Bukhaariy (4123) na Muslim (2486).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 123
- Imechapishwa: 23/09/2026
189 – Ahmad bin Hafws bin ´Abdillaah ametukhabarisha: Baba yangu amenihadithia: Ibraahiym bin Twahmaan amenihadithia, kutoka kwa Sulaymaan ash-Shaybaaniy, kutoka kwa´Adiy bin Thaabit, kutoka kwa al-Baraa’ bin ´Aazib, ambaye amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alisema kumwambia Hassaan bin Thaabit siku ya Quraydhwah:
”Wachemshe washirikina, kwani Jibriyl yuko pamoja nawe!”[1]
190 – Ahmad bin Sulaymaan ametukhabarisha: Yahyaa bin Aadam ametukhabarisha, kutoka kwa Israa-il, kutoka kwa Abu Ishaaq, kutoka kwa al-Baraa’ bin ´Aazib, aliyesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Wachemshe washirikina, kwani Roho Mtakarifu yuko pamoja nawe!”
[1] al-Bukhaariy (4123) na Muslim (2486).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 123
Imechapishwa: 23/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-hassaan-bin-thaabit/