141 – Abu Bakr bin Naafiy´ ametukhabarisha: Bahz bin Asad ametukhabarisha: Hammaad ametukhabarisha: Thaabit ametukhabarisha, kutoka kwa Anas, ambaye ameeleza:
“Usiku mmoja wa giza nene Usayd bin Hudhwayr na ‘Abbaad bin Bishr walikuwa kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam). Walipoondoka hapo, fimbo ya mmoja wao ikaanza kuangaza ili watembee katika nuru yake. Waliposhika njia tofauti, fimbo ya mwingine ikaanza kungaza.”[1]
[1] al-Bukhaariy (465).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 99
- Imechapishwa: 16/09/2026
141 – Abu Bakr bin Naafiy´ ametukhabarisha: Bahz bin Asad ametukhabarisha: Hammaad ametukhabarisha: Thaabit ametukhabarisha, kutoka kwa Anas, ambaye ameeleza:
“Usiku mmoja wa giza nene Usayd bin Hudhwayr na ‘Abbaad bin Bishr walikuwa kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam). Walipoondoka hapo, fimbo ya mmoja wao ikaanza kuangaza ili watembee katika nuru yake. Waliposhika njia tofauti, fimbo ya mwingine ikaanza kungaza.”[1]
[1] al-Bukhaariy (465).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 99
Imechapishwa: 16/09/2026
https://firqatunnajia.com/fadhilah-za-abbaad-bin-bishr/