Swali 126: Ni ipi hukumu mwanamke mwenye hedhi kuosha kichwa chake wakati wa hedhi? Kwani wako ambao wanasema kuwa haifai.
Jibu: Hakuna neno kwa mwanamke mwenye hedhi kuosha kichwa chake wakati wa hedhi. Maneno yao kwamba haifai hayana usahihi wowote. Hivyo inafaa kwake kuosha kichwa chake na mwili wake.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 54
- Imechapishwa: 31/08/2019
Swali 126: Ni ipi hukumu mwanamke mwenye hedhi kuosha kichwa chake wakati wa hedhi? Kwani wako ambao wanasema kuwa haifai.
Jibu: Hakuna neno kwa mwanamke mwenye hedhi kuosha kichwa chake wakati wa hedhi. Maneno yao kwamba haifai hayana usahihi wowote. Hivyo inafaa kwake kuosha kichwa chake na mwili wake.
Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 54
Imechapishwa: 31/08/2019
https://firqatunnajia.com/eti-haifai-kwa-mwenye-hedhi-kuosha-kichwa-chake/