Dufu Inatumiwa Katika Mnasaba Wa Ndoa Tu

Swali: Ni ipi hukumu ya kutumia dufu?

Jibu: Dufu inatumiwa tu katika mnasaba wa kutangaza ndoa. Inatumiwa katika mnasaba wa ndoa tu. Kumepokelewa ruhusa katika hili tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: al-Furqaan (12) http://alfawzan.af.org.sa/node/2055
  • Imechapishwa: 19/02/2017