Du´aa ya rehema na msamaha kwa Mtume

Swali 656: Je, Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) anaweza kuombewa rehema au msamaha?

Jibu: Ndiyo, hakuna kizuizi[1].

[1] Tazama ”an-Nasaa’iy (6/167).

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 239
  • Imechapishwa: 21/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´