Du´aa ya kikao inafuta usengenyi?

Swali 705: Je, du´aa ya kafara[1] ya kikao inafuta dhambi ya usengenyi?

Jibu: Hapana, haifuti haki ya mtu mwingine. Ni lazima kusamehewa kutoka kwao. Ama kati ya mja na Mola wake inafutwa kwa hiyo.

[1] Tazama https://firqatunnajia.com/85-kafara-ya-kikao/

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 248
  • Imechapishwa: 04/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´