Du´aa hii mara 7 baada ya Maghrib na Fajr?

Swali: Je, kuna Hadiyth inayosema:

للهم أجرني من النار

”Ee Allaah! Niepushe na moto.”

mara saba baada ya swalah ya Maghrib na Fajr?

Jibu: Ndio, ameipokea Abu Daawuud. Haina neno katika ufuatiliaji – Allaah akitaka.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25195/ما-صحة-حديث-اللهم-اجرني-من-النار
  • Imechapishwa: 14/02/2025