Swali: Mtu akiwa hajui vyema du´aa iliyothibiti ya kumuombea maiti atosheke na kumuombea msamaha tu?
Jibu: Ndio. Atosheke na yale anayoyajua. Hakuna yeyote asiyejua kumfanyia istighfaar maiti na kumuombea rehema. Kila mmoja anayajua haya. Amuombee kwa Allaah rehema, msamaha na kukingwa na Moto kama vile anavyojiombea nafsi yake.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
- Imechapishwa: 16/08/2019
Swali: Mtu akiwa hajui vyema du´aa iliyothibiti ya kumuombea maiti atosheke na kumuombea msamaha tu?
Jibu: Ndio. Atosheke na yale anayoyajua. Hakuna yeyote asiyejua kumfanyia istighfaar maiti na kumuombea rehema. Kila mmoja anayajua haya. Amuombee kwa Allaah rehema, msamaha na kukingwa na Moto kama vile anavyojiombea nafsi yake.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (15) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-24-11-1434_0.mp3
Imechapishwa: 16/08/2019
https://firqatunnajia.com/duaa-ambayo-haikuthibiti-kumuombea-maiti/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)