Swali: Du´aa al-Istifaah (ya kufungulia Swalah) inasomwa katika faradhi na Naafilah, au ni katika faradhi tu?
Jibu: Sunnah ni katika yote mawali, asome Du´aa al-Istifaah katika yote mawili faradhi na Naafilah. Hii ndio dhahiri ya Hadiyth ya Hadiyth kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Nuur ´alaad-Darb
- Imechapishwa: 31/03/2018
Swali: Du´aa al-Istifaah (ya kufungulia Swalah) inasomwa katika faradhi na Naafilah, au ni katika faradhi tu?
Jibu: Sunnah ni katika yote mawali, asome Du´aa al-Istifaah katika yote mawili faradhi na Naafilah. Hii ndio dhahiri ya Hadiyth ya Hadiyth kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Nuur ´alaad-Darb
Imechapishwa: 31/03/2018
https://firqatunnajia.com/duaa-al-istiftaah-inasomwa-katika-swalah-za-faradhi-na-sunnah/