´Imraan bin Muusa al-Jurjaaniy amesema: Nilimsikia Suwayd bin Sa´iyd akisema: Nilimsikia Maalik, Shariyk, Hammaad bin Zayd, Ibn ´Uyaynah, al-Fudhwayl bin ´Iyaadhw, Muslim bin Khaalid, Ibn Idriys na wengine wote waliofikisha elimu wakisema:
“Imani ni maneno na matendo. Inazidi na inapungua. Qur-aan ni maneno ya Allaah na ni miongoni mwa sifa za dhati Yake. Haikuumbwa. Mwenye kusema kuwa imeumbwa ni kafiri.”
´Imraan amesema:
“Hii ndio dini yangu ninayoamini. Sijamsikia Muhaddith yeyote isipokuwa anaonelea hivi.”
- Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (14/136-137)
- Imechapishwa: 13/11/2020
´Imraan bin Muusa al-Jurjaaniy amesema: Nilimsikia Suwayd bin Sa´iyd akisema: Nilimsikia Maalik, Shariyk, Hammaad bin Zayd, Ibn ´Uyaynah, al-Fudhwayl bin ´Iyaadhw, Muslim bin Khaalid, Ibn Idriys na wengine wote waliofikisha elimu wakisema:
“Imani ni maneno na matendo. Inazidi na inapungua. Qur-aan ni maneno ya Allaah na ni miongoni mwa sifa za dhati Yake. Haikuumbwa. Mwenye kusema kuwa imeumbwa ni kafiri.”
´Imraan amesema:
“Hii ndio dini yangu ninayoamini. Sijamsikia Muhaddith yeyote isipokuwa anaonelea hivi.”
Mhusika: Imaam Shams-ud-Diyn Muhammad bin Ahmad adh-Dhahabiy
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Siyar A´laam-in-Nubalaa’ (14/136-137)
Imechapishwa: 13/11/2020
https://firqatunnajia.com/dini-yangu/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)