”Dini iko moyoni, si kwenye ndevu”

Swali 5316: Ni ipi hukumu ya Uislamu kuhusu kunyoa ndevu? Kwa sababu watu wamechanganyikiwa kuhusu jambo hili; baadhi yao hulikemea na kusema kwamba dini iko moyoni na si katika sura ya nje, wengine huzinyoa, nao ni weng wakiingia mpaka wanazuoni na watu wa kawaida wakawafuata kichwa mchung wanazuoni hao. Unapowaambia kuwa kunyoa ndevu haijuzu wanajibu kwa kusema kwamba Shaykh anazinyoa na kwamba wewe hujui kuliko yeye. Unapomuuliza Shaykh huyo anayezinyoa, basi hulichukulia jambo hilo kwa wepesi, kwa sababu asiye na kitu hawezi kutoa kitu?

Jibu: Kuacha ndevu zikue ni wajibu na kunyoa ni haramu. Kitendo cha baadhi ya wanazuoni kunyoa ndevu zao si dalili ya kwamba inajuzu kunyoa.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/150)
  • Imechapishwa: 23/10/2026