Swali:
بسم الله الذي لا يضرُّ مع اسمه شيءٌ في الأرض ولا في السماء، وهو السميع العليم
“Kwa jina la Allaah ambaye hakidhuru kwa jina Lake chochote mbinguni na ardhini Naye ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote.”
Je, mtu aiseme jioni baada ya kuzama kwa jua?
Jibu: Ndio, jioni. Ni sawa pia akiisema mwishoni mwa mchana kwa sababu ni jioni.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23416/متى-يقال-بسم-الله-الذي-لا-يضر-مع-اسمه
- Imechapishwa: 13/01/2024
Swali:
بسم الله الذي لا يضرُّ مع اسمه شيءٌ في الأرض ولا في السماء، وهو السميع العليم
“Kwa jina la Allaah ambaye hakidhuru kwa jina Lake chochote mbinguni na ardhini Naye ni Mwenye kusikia, Mjuzi wa yote.”
Je, mtu aiseme jioni baada ya kuzama kwa jua?
Jibu: Ndio, jioni. Ni sawa pia akiisema mwishoni mwa mchana kwa sababu ni jioni.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23416/متى-يقال-بسم-الله-الذي-لا-يضر-مع-اسمه
Imechapishwa: 13/01/2024
https://firqatunnajia.com/dhikr-ya-jioni-kila-siku/